Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Ingredients: Kwa kiasi watu 6-8


For marination

5 lb vipande vya miguu na mapaja 12 pcs au kuku mzima alokatwa
Vijiko vikubwa 3 mtindi mzito
Vijiko vikubwa 4 tomato paste
Nusu 1/4 kikombe tomato ilosagwa
Vitunguu vikubwa 4
Vijiko 3 vikubwa vya thom & tangawizi ilosagwa
Ndimu/limao 1-2
1/2 Nusu kifungu majani ya kotmiri/gilgilani
1/4 kifungu majani ya nanaa
Pilipili za kijani 2 au zaidi
Vijiko 3 vikubwa bizari ya biriani ya kinyumbani au 2 garam masala
Vijiko 2 vikubwa chumvi
Vikombe 3 mafuta ya kukangia vitunguu
Nusu 1/2 kikombe mafuta ya ( kwa kuroeka kitoeo)
Zaafarani kidogo


Mbatata 2-3 kubwa kama utapenda

Mataarisho ya wali

Mchele mrefu wa basmati vikombe 5
mdalsini mzima vijiti 2
Hiliki nzima 5 pods
bay leaves 2
Karafuu nzima 3
Star anise 1
Kijiko 1 kikubwa pilipili manga nzima
Robo 1/4 kikombe vitunguu vilokaangwa

Chumvi kiasi
Zaafarani kiasi
Robo 1/4 kikombe maji ya mawardi ( sio lazima, kama utapenda)

Vikombe 7-8 maji ya kuchemshia wali
mafuta ya moto vijiko vidogo 6-8 kumwagia kwenye wali

Page: biryani/recipe/simple,
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...