Chin Bees FT Khaligraph Jones - Kababaye Remix (Official Audio)

DOWNLOAD VIDEO
KABABAYE REMIX
CHIN BEES FT KHALIGRAPH JONES
PROD WANENE STUDIOS ©2017 VERSE 1

Sitaki traffic in my way eey,
Where is my money we ni pay eeey,
Harakati za kusaka ganji paka paparazzi wana hate eey,
Hawataki si tu play wee,
They aint happy wuth the waves eey, but nachapa kazi we ukikata maji
Me ndo baba mzazi mi na save eeey
Vile wanataka waseme, kama una shida basi zusha,
Biashara imeleta mapene
Mapene imeleta vipusa
Hater si lazima unipende
Sijali ukitaka we kufa,
Nime come na kikosi ya Wanene kababayee juu ya beats za Luffa
Chin Bees vipi where am from me nimekalia kiti
ju we ni kababayee na Mimi ni Papa Jones so tukiamua tunaweza kuongoza hii nchi,
Kila siku niku pimping na na Binti nigga F what you thinking
Wale walithani tutazama wamekula uju Tuko juu ain’t no way that we sinking,
K Jones in the building
Ain’t no playing around we gotta kill them, We making dollars and pounds,
We the hottest around and I’ll be taking the crown ju me ndo kingpin down on a remix
Y’all know am the real G
They call me kababayee you feel me It’s a murder case kesheni mazishi
so go ahead and talk to them Chin Bees

VERSE 2

Napiga zig zagaa...
Nawasugua ka gagaa..
Hauzezi kubattle na bees..
Uwezo uko chini ka chaga...

Kama ng'ombe nawaswaga
Engle zangu wataga
nawachezesha ka ragga...ragga ragga ragga ragga

Check wanashuka bei...
Style zao zaki reee...
I gat no time to play .....
Haters get of ma way.....
Beesgang on top aye macho mbele kwenye pay....
Daily nawaoverlap. Njia zangu hawatembei.....
Njia zangu hawasogei......
Japo niggaz wana hate...
Root ndefu pumzi fuupi ....
Nikipita hawangojei aye...

Niko na papa jones....
Twazidi tembeza dose...
Fake rappa kila course....
Fake rappa kula course....×2
Removing bees yourself - Bee Res, Plants for Bees - Beekeeping, Fear of Bees Phobia – Apiphobia, Superstitions and Old Wives' Tales - , Baseball Player Name Pronunciation , Noah Wilson-Rich: Every city needs , “A Hunting We Will Go” (BEES) | , Burt's Bees Redwood Forest Lip Crayon , HOW TO: Attracting pollinators: Flowers , How To Get Started In Beekeeping - ,
Page: chin betekenis, chin behilia, chin eethuis da xing borger, chin beard irirates what to do,
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...