EXCLUSIVE: Akilimali Afunguka Atakavyotoa Mishahara kwa Wachezaji

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
EXCLUSIVE: Akilimali Afunguka Atakavyotoa Mishahara kwa Wachezaji Yanga

HAKUNA Asiyemfahamu Mzee Akilimali kutokana na umaarufu wake ndani ya Klabu ya Yanga ambako amekuwa akivutana na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo huku wakidai kuwa ndiyo anakwambia maendeleo ya klabu.

Jina lake halisi ni Ibrahim Akilimali Huyo ni Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga ambaye amekuwa akitoa maneno ya shombo kwa wachezaji au hata viongozi wa timu hiyo anapoona hawafanyi vizuri.

Siyo kwamba haipendi Yanga bali huyu ni Yanga lialia Lakini wapenzi wa soka nchini wamekuwa wakijiuliza mambo kadhaa kuhusiana na mzee huyo ambaye haishiwi vituko kila kukicha.

Global TV Online imefanya mahojiano maalum kujua mambo kadhaa muhimu kuhusiana na Klabu ya Yanga .

lnstal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
WHO | Breastfeed, Exclusive Awnings cc - canvas and aluminium awni, Exclusive economic zone - Wikipedia, SantaBanta Full HD Wide Wallpapers I Exclusive Downloads , Exclusive Pigeons, pigeon auctions, race pigeon auctions , CAPRI EXCLUSIVE HOMEWARE – Quality Homew, Exclusive: Tesla to close a dozen solar facilities in nine , Actiongirls.com - a Scotty JX, Goddess Armie Website! with , Lipsey's - Wholesale Firearms Distributor - Exclusive , Exclusive: Monica Lewinsky Writes About Her Affair with ,
Page: exclusive definition, exclusive furniture, inclusive, exclusively, exclusiveloader, exclusive care, exclusive or, exclusively xi, exclusive furniture houston, exclusive resorts, exclusive premiere tv, exclusive synonym, exclusively yours, exclusive powers, exclusive casino, exclusive motors, inclusive definition, exclusive meaning, exclusive jurisdiction, exclusive books, exclusive world premiere, exclusive of, exclusive relationship,
Loading...

Related videos

Loading...