Kuagwa kwa Maria na Consolata Mapacha Walioungana Mkoani Iringa

DOWNLOAD VIDEO
BURIANI MARIA NA CONSOLATA: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako na Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu anayeshughulikia walemavu, Stella Ikupa Alex ni miongoni mwa watu waliojitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Maria na Consolata.

Katika shughuli hiyo ya kutoa heshima ya mwisho, vilio na huzuni vilitawala huku mamia ya watu waliofika kuwaaga mapacha hao walioishi kwa miaka 21, na kugusa mioyo ya wengi wakishindwa kuzuia hisia zao za majonzi waliyonayo.

Mapacha Maria na Consolata wameagwa leo na wanatarajiwa kuzikwa leo baadaye kwenye makaburi ya masista yaliyopo Tosamaganga, mkoani Iringa.
JAバンク香川 手数料一覧について | JAバ , 平成29年度 香川県住宅用 ... - pref.kagawa.lg, 香川・高松のエアコン取り付け・取り外し工 , 店舗案内|JA香川県 - kw-ja.or, 香川県住宅用太陽光発電 ... - , 香川県のランキング|都道府県別統計とラ , 須賀川瓦斯株式会社 – power-shift., 須賀川市住宅用再生可能エネルギー等シ , JA香川県(香川県農業協同組合)オフィ , 3 - pref.kagawa,
Page:
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...