LOOH ! Mama Diamond Ampa kipondo Hamisa Mobeto

DOWNLOAD VIDEO
LOOH ! Mama Diamond Ampa kipondo Hamisa Mobeto LOOH!

Baada ya uzinduzi wa filamu ya 'Mama' iliyoandaliwa na Malkia wa Filamu Bongo, Aunt Ezekiel na kuzinduliwa pale mlimani city ambapo wasanii mbalimbali walihudhuria hafla hiyo.

lakini inasemekana ilikuja kuzua balaa lililosababisha kilio kikubwa kwa mlimbwende Hamisa Mobeto ambaye pia ni mzazi mwenzie na Mbongo Fleva, Diamond Platnumz, ambapo inasemekana baada ya hafla hiyo alitia guu Madoale ili kupumzika na mzazi mwenziye huyo.

Baada ya kufika ndipo alipokutana uso kwa uso na mama mzazi wa Diamond, Bi Sandra ambaye hakupendezwa na kitendo cha kumuona nyumbani kwake hapo, hali iliyosababisha kuibuka kwa mzozo wa aina yake huku wakirushiana maneno makali baina yao na hatimaye mama Diamond akaamua kumshushia kipigo mkwewe huyo na kumfukuza nyumbani.

Tifu hilo lilisababisha wigi la Mobeto kuvuka ambapo alivyoona maji yamefika shingoni aliamua kuvua viatu na kukimbia.

Global TV tunaendelea kufuatilia UBUYU huu na tutakujuza ukweli kamili wa tukio hili.

lnstal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
Category
News & Politics
License
Standard YouTube License
look – Dizionario inglese-italiano , Cats That Look Like Hitler, look - English-French Dictionary , Home - NECC, ZIP Code™ Lookup | U, Beauty Tips, Celebrity Style and Fashion , National Association of Unclaimed , - CyberHymnal, Mass., Plimoth Plantation,
Page:
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...