MAGUFULI, Diamond Uso kwa Uso Adondosha Burudani Mbele ya JPM

DOWNLOAD VIDEO
Shuhudia Diamond Akiimba Mbele ya Magufuli

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu Diamond amekonga mioyo ya wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Rada mpya na Ndege mpya ya shirika la ndege Tanzania ATCL.

Akiwa uwanjani hapo Diamond ambaye kwa sasa anatamba na albamu yake ya A boy From Tandale ameitwa na Rais magufuli na kumtaka Msanii huyo kuimba mbele ya hadhara hiyo.

Kabla ya kuimba Diambond anayevuma zaidi kimataifa alipata fursa ya kumuelezea Rais namna alivyofurahishwa mwaliko huo.

nstall #GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER
Dr John Magufuli (@MagufuliJP) | Twit, John Magufuli - Wikipe, John Magufuli - Tanzania's 'Bulldozer' , Tanzania’s new president shakes up east , Magufuli aonya wanasiasa dhidi ya maandamano , Eric Omondi How To Be Magufuli - , Team Dr.John P. Magufuli - Home | , Magufuli, the President who declared , Tanzania: Freedom of expression , Magufuli has been president for two ,
Page: magufuli, magufuli photos, magufuli akiwa nigeria kwa tb joshua, magufuri, magufuri bugeni, magufuri anasemaje kuhusu wafugaji,
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...