MAKONDA KATHIBITISHA: Ndoa ya Lulu na Majizzo

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
MAKONDA KATHIBITISHA: Ndoa ya Lulu na Majizzo

IKIWA ni wiki chache zimepita tangu Malkia wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael 'LULU' arudi uraiani baada ya kubadilishiwa adhabu ya kukaa gerezani kwa miaka miwili na badala yake kukitumikia kufungo chake akiwa uraiani, inasemekana kwamba anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi Mfanyabiashara Majizzo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amethibitisha kuwa hivi karibuni wawili hao watafunga ndoa na yeye ndiye mwenyekiti wa Kamati wa harusi ya ndoa hiyo.

Makonda ameposti kipande cha wimbo mpya wa Mrisho Mpoto FT Harmonize unaoitwa 'Nimwage Radhi'' na kukiambatanisha na ujumbe ufuatao.

"Nikiwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya ndugu Majizo na Bibi Elizabeth Michael (Lulu) nimeupitisha wimbo wa Mrisho Mpoto na Harmonize kuwa ndiyo wimbo rasmi wa harusi yao, tarehe za harusi endelea kufuatilia"

Instal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.
Personalized Online Learning from Oppia, “Kinachonishikitisha ni ahadi ya mwelekeo” –Hussein , Gold price in UAE in UAE Dirham (AED)Gold Price , Zitto Kabwe alichomwambia Mbunge wa ... - , Kindness Ambassadors – The Great Kindness Challenge, veve - MUZIKI, Mwenyekiti wa kamati ya uongozi CUF, Julius Mtatiro , Sex for fun: Girls’ hostels turned into 'brothels' in , Résultat Brevet 2018 d'Angers - 49000 - Francei, After Foot — Wikipé,
Page: makonda kwisha kabisa gwajima, makonda kuvamia kituo cha redio, makonda kuongelea skendo ya vyeti,
Loading...

Related videos

Loading...