Matiang’i akiri amepokea vitisho kutoka kwa washukiwa wakuu wa ulanguzi wa sukari

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi ameonya dhidi ya  walanguzi wa sukari ghushi akidokeza kuwa  kamwe hatatishwa na walanguzi hao, huku K24 saa moja ikibaini miongoni mwa walanguzi hao wakuu ni wabunge na jamaa zao.
Matiang'i amedokeza hayo leo baada ya kunaswa kwa shehena nyingine ya magunia 1,365 ya sukari ghushi ambayo inaripotiwa kuwa kemikali ya zubaki yaani mercury na shaba nyekundu au copper, madini ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu.

Page: mating urban dictionary, martin gaura, maitangaran, matangara, matinga ragatz, marianger jimenez, matangari, matinga ragatz bio, matanga rishi, matangara in namibia, matiranga upazila health complex,
Loading...

Related videos

Loading...