"MKALI WENU Hajaacha Pengo Lolote TIMAMU" - MENEJA

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
"MKALI WENU Hajaacha Pengo Lolote TIMAMU" - MENEJA

Kufuatia kitendo cha msanii wa vichekesho, Mkali Wenu kujitoa katika Kampuni ya Timamu iliyokuwa ikimsimamia, meneja wa kundi hilo, Timoth Conrad amefunguka na kueleza sababu zilizosababisha msanii huyo aondoke.

Meneja huyo ameeleza kwamba msanii huyo alikuwa na malengo yake kabla ya kuingia kwenye kundi hilo na pengine aliona kwamba malengo hayo hayawezi kutimia akiwa ndani ya Timamu kwa hiyo hakuna tatizo lolote kwa msanii huyo kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine nje ya Timamu.

Kuhusu kuacha pengo lisilozibika ndani ya kampuni hiyo, meneja huyo amesema hakuna pengo lolote lililoachwa ambalo haliwezi kuzibika na kueleza kwamba yeye ndiye aliyemtengeneza Mkali Wenu awe hivyo alivyo leo, kwa hiyo anao uwezo wa kumtengeneza mtu mwingine yeyote.

Install GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit

https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 BREAKING: http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM:

https://www.instagram.com/globalpubli..

Page:
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...