MOBETO: Muulizeni Diamond Atanioa Nchi Gani?

DOWNLOAD VIDEO
MOBETO: Muulizeni Diamond Atanioa Nchi Gani?

Kila inapofika Mei 13 dunia nzima inaadhimisha siku ya wakinamama duniani ambapo muigizaji maarufu nchini, Aunt Ezekiel aliitumia siku hiyo kuzindua short Film yake inayokwenda kwa jina la 'MAMA' ambayo ni maalum kwa wakinamama wote kupewa heshima zao.

Uzinduzi huo ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City na kuhudhuriwa na mastaa kibao akiwemo mwanamitindo, Hamisa Mobeto, ambaye akiwa ukumbini amethibisha kurudiana na mzazi mwenziye Diamond Platnumz, kama ambavyo taarifa zilizkuwa zikisambaa mitandaoni, ambapo pia amesema kurudiana kwao kumetokana na uvumilivu wake.

lnstal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
LETTER S | letters leren herkennen en schrijven, alfabet , Wat je moet weten als ze je verstandskies trek, Home - Commissiemer, Bioplek biologie voor het voortgezet (secundair) onderw, Welkom bij vv , Centrale Commissie Mensgebonden Onderzoek (CC, Crevits stuurt M-decreet bij - De Standa, Interieur Deals | Time4T, Weg met dat wo, | ,
Page:
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...