MOBETO: Wema Kanizidi Hadi Shepu, Ndoa na Diamond..!!!!

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
MOBETO: Wema Kanizidi Hadi Shepu, Ndoa na Diamond..!!!!

Shindano la kumsaka Miss IFM limefanyika katika ukumbi wa King Solomoni jijini Dar es Salaam usiku wa Mei 12, 2018.

Mmoja kati ya majaji katika usiku huo ni mwanamitindo, Hamisa Mobeto, ambaye licha ya kuwa jaji katika shindano hilo pia amewavalisha mamiss hao kupitia duka lake la Mobeto Styles lililopo Kijitonyama.

Global TV Ilifanikiwa kumbananisha Mobeto kwenye ukumbi huo na kuzungumza nae kuhusiana na Kauli ya Wema Sepetu ya kumbariki mwanamitindo huyo aolewe na Mbongo Fleva, Diamond Platnumz ambaye zamani aliwahi kubanjuka nae kimapenzi.

Mobeto amesema Wema ni dada yake na anamheshimu sana, pa ni mtu ambaye amemzidi kila kitu mpaka shepu.

Kuhusu suala la kumbariki aolewe na Diamond, Mobeto amesema amefurahi sana kusikia hivyo na anajua kauli hiyo imetoka kwenye uvungu wa moyo wake kwakuwa anamjua Wema ana roho nzuri sana.

lnstal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
Ghafla!Tanzania - Get The Latest Tanzanian Entertainment N, Shona Ferguson Biography, Age, Children, Wife, Television , UDAKU SPECIAL BLOG | Pata Habari Moto m, Who Will Save NNPC Boss, Maikanti Baru, From Oil Minister , This divorce story will shock you beyond your wildest ,
Page: mobtown pizza, mobtown greaseball 2018, mobtown greaseball, mobtown, mobtown ballroom, mobtown brewing company, mobtown shank, movetowrangell, movetown, mobtown car show, mobtown studios, mobtown brewery, mobtown sliders, movetowards, movetowards unity, mobtown fab, mobtown usa, mobtown beat, mobtown baltimore, mobtown chicago, mobtown kombucha, mobtown crossfit, mobtown merchandise, mobtown greaseball show,
Loading...

Related videos

Loading...