MOSE IYOBO: "Aunt Alinikasirisha Sana, Nilivyoona Tu Nikamuuliza"

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
MOSE IYOBO: "Aunt Alinikasirisha Sana, Nilivyoona Tu Nikamuuliza"

Kila inapofika Mei 13 dunia nzima inaadhimisha siku ya wakinamama duniani ambapo muigizaji maarufu nchini, Aunt Ezekiel aliitumia siku hiyo kuzindua short Film yake inayokwenda kwa jina la 'MAMA' aliyomchezesha mwanae Cookie, ambayo ni maalum kwa wakinamama wote kupewa heshima zao.

Mzazi mwenziye na Aunt Ezekiel, Mose Iyobo amezungumza na Global TV na kuelezea jinsi ambavyo alilipokea wazo la mpenzi wake huyo la kutaka kumchezesha mtoto wao katika filamu.

Mose Iyobo amesema baada ya kuiona Short Film hiyo na kumshuhudia mwanae akilia alikasirika sana na kumgeukia Aunt na kumuuliza kwanini mtoto wake amelia kwenye filamu hiyo ambapo alipewa maelezo ya kutosha na baadaye akatulia.

lnstal GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
All Possible Four Letter Words (Except One) - St,
Page: mose iyobo instagram, moses iyobo anavocheza na wcb downlod, mose iyobo on insta,
Loading...

Related videos

Loading...