Ni Msiba wa Historia Iringa, Tutawakumbuka MARIA NA CONSOLATA

DOWNLOAD VIDEO
Misa ya Mwisho Kabla ya Mazishi ya CONSOLATA na MARIA
MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCU) kabla ya kuzikwa katika makaburi ya viongozi wa dini yaliyopo Tosamaganga mkoani humo leo Jumatano, Juni 6, 2018.

Maria na Consolata ambao enzi za uhai wao walikataa kutenganishwa, watazikwa kwenye jeneza moja litakalokuwa na misalaba miwili. Familia za baba na mama wa mapacha hao kutoka Tukuyu, Mbeya na Bukoba, Kagera, waliokuwa walezi wa mapacha hao, masista wa Consolata wa Iringa, na waombolezaji wengine, wameungana katika kuwasindikiza mapacha hao katika safari yao ya mwisho duniani.

Shughuli za kuaga miili hiyo imeanza saa mbili asubuhi katika chuo cha Rucu ambapo baadaye msafara wa maziko utapita barabara kuu kuelekea Tosamaganga ili wananchi ambao hawatafika Rucho waweze kutoa heshima zao za mwisho.
Titul MBA - pripravíme Vás na úsp, Online štúdium MBA na ESBM - získajte titul MBA | , US-MBA studium na VUT v Brně s University St. Francis v , Mini Tech MBA | Prvý vzdelávací program pre biznis , MBA Moderne Bedrijfsadministratie | Mulder Opleidin, Master of Business Administration - Wikipe, MBA Consulto, Studium.MBA | Přehled škol a programů MBA v , Cumann na mBan - Wikipe, Online studium MBA a LLM za 1 rok, česky i anglicky | ,
Page:
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...