Nyumba ya Hamisa Mobeto Utata, Yasemekana ni ya Kupanga

DOWNLOAD VIDEO
Subscribes:http://keclips.com/ke-use/KidaniStars
Kupitia kwenye Kipindi Cha Refresh Kinachorushwa na Wasafi Tv walifanya Mahojiano na mama mzazi wa hamisa Mobeto ambaye alikuwa katika Nyumba Mpya Ambayo inasemekana Msanii Diamond Platnumz Kamnunulia Mtoto wake aliezaaa na Hamisa Mobeto Dylan.

Kupitia kwenye Interview Hiyo Mama Mzazi wa Hamisa Alithibitisha kuwa Nyumba Hiyo Kanunuliwa mjukuu wake Dylan na sio hamisa kama watu wanavyosema sema so wako pale kwa sababu ya Dylan.
Diamond Kupitia kwenye Ukurasa wa Mtoto wake Huyo wa kwenye Instagram Alicomment katika post Ambayo iliwekwa katika page hiyo na kusomeka kwamba


Sasa Utata unakuja baada ya Taarifa zingine Kusema kwamba Nyumba Hiyo Ni Ya kupangisha baada ya Kupostiwa katika Page ya Mmoja wa madalali maarufu kwenye Ukurasa wa Instagram ambao anatumika katika kutangaza na kupangisha Nyumba Hizo
katika moja ya kurasa za instagram inayojulikana kama dalali kiongozi imeonyeshwa nyumba hiyo ilipokuwa katika matangazo ya kupangishwa hapo kipindi cha nyuma na hata kutajwa kiasi cha kupangishwa kwa nyumba hiyo.

Eeeeh Bhana Sio Mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz Kununua Nyumba kwa ajili ya familia yake kwani tunakumbuka aliwanunulia Tiffah na nillan Nyumba South Africa lakini Pia mama yake Kule Madale So Tusishangae Pia nyumba hiyo ikawa imenunuliwa kwa ajili ya Dylan na Mama Yake Mobeto
Subscribes:http://keclips.com/ke-use/KidaniStars
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mak, Akamatwa kwa kumtupa mwanawe kutoka juu ya paa la nyumba , Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa , Bomoabomoa: Kumbe nyumba ya 'Joti' , PICHA 4: Cassper Nyovest kaonyesha nyumba ya ndoto , Ujenzi wa nyumba kiholela Tanzania unaweza kuzuiwa , PICHA 6: Lowassa alivyofika nyumba kwa Kingunge , Enhacing the Culture and Traditions of , Home | Tanzania Buildings Age, Pasaka ya Kiyahudi - Wikipedia, kamusi elezo h,
Page: nyumba ya diamond, nyumba za kisasa,
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...