RAIS MAGUFULI AMUOKOA LULU, JESHI LA MAGEREZA LATOA KAULI

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
MAGEREZA WASEMA LULU ‘AMETOKA’ KWA MSAMAHA WA RAIS

Msanii nyota wa Filamu, Elizabeth Michael maarufu Lulu, ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais John Magufuli, alioutoa kwa wafungwa katika Sikukuu ya Muungano Aprili 26, mwaka huu.

Hata hivyo, msamaha wa rais kwa msanii huyo ambaye ameachiwa Jumamosi wiki iliyopita, ni kubadilishiwa au kupunguziwa adhabu kutoka kifungo cha miaka miwili alichokuwa akitumikia hadi kifungo cha nje ambacho atamaliza Novemba 12, mwaka huu.

Akizungumza na Mtanzania Digital leo Jumatatu Mei 14, Naibu Kamishna wa Magereza, Augustino Mboje amesema Magereza ilipokea amri kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kwamba mfungwa huyo amebadilishiwa adhabu hivyo wamwachie huru.

Usipitwe na Matukio Muhimu kila siku na taarifa za Habari Mubashara yaani Live kila siku kwenye Channel hii. Subscribe sasa na bofya alama ya kengere inayotokea baada ya Subscribe. Fungua Link hii http://keclips.com/ke-chan/UCVn_....
Makamu wa Rais Wilayani Magu, asisitiza matumizi ya , Rais Was Magu Ntalu Profiles | Faceb, Rais Wa Magu Ntalu | Faceb, Dr. Ngwale ni nani katika serikali ya Magufuli | , HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZOTE ZA FORM , RAIS | Scandinavian Fireplaces - Wood Burning Stoves , MTILAH B, RAIS - Home - Hearthlink Internatio, The Risk Assessment Information System, Magi - Wikipedia,
Page: rais magufuli jana, rais magufuli youtube, rais magufuli, rais magufuri, rais magufuli afanya uteuzi, rais magufuli dodoma, rais magufuli kagera, rais magufuli bakhresa, rais magufuli akihutubia, rais magufuli afanya uteusi leo, rais magufuli jana ikulu, rais magufuli wa tanzania, rais magufuli ziarani lindi, rais magu uwanja wataifa, rais magufuli hataki kupangiwa, rais magutuli airport mwanza, rais magufuli jana aliongea nn, rais magufuli akutana na wastaafu, rais magufuli kuelekea uganda leo, rais magufuri akubarina na baric, rais magufuli na viongozi wastaafu, rais magufuri akihutubia nyerere dey, rais magufuli kupunguza mishahara mikubwa, rais magufuli atoa bajet ya inchi,
Loading...

Related videos

Loading...