WEMA: "Mobeto ni Mdogo Wangu, Ila Mazoea Yamezidi"

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
WEMA: "Mobeto ni Mdogo Wangu, Ila Mazoea Yamezidi"

Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wamemuandalia hafla fupi msanii mwenzao, Wema Sepetu, ya kumpongeza kutokana na tuzo alizoshinda kwenye tuzo za sinema zetu zilizoandaliwa na Azam TV.

Wema amewashukuru sana wasanii wenzake kwa hafla hiyo na pia amesema ameyasikia maneno maneno ya baadhi ya wasnii wengine walioponda yeye kupata tuzo hizo, lakini anazichukulia kama changamoto tu kwenye maisha kwani huwezi kupendwa na kila mtu.

Aidha Wema amezungumzia uhusiano wake na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto, ambaye awali alikuwa rafiki yake lakini baada ya kuzaa na X-wake Mbongo Fleva, Diamond Platnumz, urafiki umepungua kidogo.

"Hamisa ni kama Mdogo wangu, lakini kuna wakati sijui mazoea yakizidi sana kunaleta mushkeri kidogo, kwahiyo kila mtu anatakiwa kubaki kwenye mipaka yake" amesema Wema

Install #GlobalPublishersApp Android: https://bit.ly/2AAQe1d iOS: https://apple.co/2Assf4M Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://keclips.com/ke-use/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 http://keclips.com/ke-use/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... \

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
WEMA USA, INC - Tank Level Senders, Fuel Gauges, Marine , HOME | WELKOM bij WEMA Tijdelijke Ruimte B, WEMA Flüssigtapete - Startse, Wema Sepetu (@wemasepetu) • Instagram photos and vid, wema, wema.net - Implicazioni Infermieristiche Nolva, WEMA Aruba - Your Local Home Improvement St, WEMA INC, Home - Wemabank, Wema-fluessigtapete.de: WEMA Flüssigtapete - Startse,
Page: wma:wimad drp, woman:at the:well, woman: my confession, woman: an exposition for the advanced mind, woman:s boarding pass posted on social media,
Loading...

Related videos

Loading...