William Ruto na Gideon Moi wahudhuria mazishi ya mbunge wa Baringo kusini

DOWNLOAD VIDEO
Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa amewataka viongozi kutomhusisha babake Daniel Moi kwenye siasa za ubabe kati yake na naibu wa rais William Ruto.
Seneta Moi ambaye alizungumza wakati wa mazishi ya mbunge wa Baringo Kusini Grace Kipchoim amesema yeye hajamkosea wala kumdhalilisha kiongozi yeyote, lakini yuko radhi kuvumilia matusi na cheche dhidi yake.
 
Na kama anavyotuarifu Kiama Kariuki, viongozi wa Jubilee waliendelea kumlaumu kwa madai ya kumzuia naibu wa rais William Ruto kukutana na rais mustaafu Daniel Moi, wakisema huo sio ungwana.
William Randolph Hearst - Wikipe, William Hill™ - Bet £10 Get £30 in Free , William Hill Casino Online - Get started , Prince William County Governm, Music from 1800-1, William Shakespeare - Wikipe, Bangkok Eyes - MIDNITE HOUR - 01 , The William Blake Arch, William Shakespeare - Biography and , Home - Prince William County Public ,
Page: william rutten fotografie, william rijnberg, william randolph hearst, william rog, william ramschie, william roozendaal, william reich, william rutten wikipedia, william r forstchen, william ramakers, william rodriguez,
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...