Wimbo uliomtabiria Kifo "Sam wa Ukweli" Akiwa studio

DOWNLOAD VIDEO
Wimbo uliomtabiria Mauti Sam wa Ukweli Akiwa studio

TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed maarufu 'Sam wa Ukweli' amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 07 katika hospitali ya Palestina, Sinza baada ya kuugua kwa muda mrefu
-
Taarifa za awali kutoka kwa Mtayarishaji wa nyimbo zake aliyefahamika kwa jina la Steve zinasema Sam alianza kulalamika maumivu ya tumbo tangu Jumanne Juni 05 hadi kuzidiwa Jumatano usiku
VideoMpya: Uli-miss kazi za Weusi kuna hii wapo na , Hondennamen op alfabetische volgorde - Dierenna,
Page:
Tags:ENTERTAINMENT
Loading...

Related videos

Loading...
Loading...
Loading...