'Jowie’, Maribe kusalia korokoroni

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Mshukiwa mkuu katika kesi ya mauaji ya Monica Kimani Joseph Irungu almaarufu “Jowie” pamoja na mwanahabari Jacque Maribe watazidi kuzuiliwa hadi Jumatatu ijayo, ila wakati huu katika rumande ya jela la industrial area na Lang’ata mtawalia.
Hii ni baada ya jaji Jessi Lessit kukubali ombi la upande wa mashtaka kwamba maribe afanyiwe uchunguzi kubaini iwapo ana akili punguani.
Aidha kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotuarifu, kilichowavutia wengi kortini hii leo ni uhusiano wa karibu baina ya Maribe na babake.

Page:
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...