ALICHOSEMA Consolata Mda mfupi kabla ya Kifo akimwambia Daktari

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na kifo cha mabinti mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia jana jioni katika hospitali ya Mkoa wa Iringa.
Mhe. Rais Magufuli aliwatembelea Maria na Consolata walipokuwa wakipata matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam tarehe 06 Januari, 2018. Pamoja na kuwapa pole, Maria na Consolata waliongoza sala ya kuliombea Taifa na Viongozi wake.
Mhe. Rais Magufuli anasema anatambua kuwa Maria na Consolata walikuwa na ndoto kubwa ya kuja kulitumikia Taifa baada ya kumaliza Chuo Kikuu cha Masista wa Consolata Ruaha (RUCO) walikokuwa wakiendelea na masomo yao, lakini haikuwa hivyo.
Amewaombea Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi, Amina.

Usipitwe na Matukio Muhimu kila siku na taarifa za Habari Mubashara yaani Live kila siku kwenye Channel hii. Subscribe sasa na bofya alama ya kengere inayotokea baada ya Subscribe. Fungua Link hii http://keclips.com/ke-chan/UCVn_....

Page: alichosema rais magufuli kuhusiana na makonda, alicho sema magufuli youtube, alichosema msigwa, alichosema lema kuhusu mo youtube, alichosema gwajima kuhusu lisu 11/9/92017, alichosema lema kuhusu kupotea kwa mo youtube,
Loading...

Related videos

Loading...