‘Daktari' Mugo anayekabiliwa na kesi ya ubakaji asakwa

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Polisi wanamsaka James Mugo maarufu Doctor Mugo wa Wairimu kwa hatia ya kendeleza kliniki ya kutoa mimba na isiyokuwa na idhini kutoka kwa bodi husika KMPDB. Kulingana na upekuzi wa NTV, Mugo Wa Wairimu ambaye mwaka wa 2015 vile vile alipatikana na hatia ya kuendeleza biashara hiyo kinyume cha sheria, alibadilisha jina lake na kuanzisha shughuli hiyo katika mtaa wa Kayole jijini Nairobi kwa jina tofauti.

Page:
Loading...

Related videos

Loading...