Annoint_Makumbusho Ni Makaburi Yetu.(kilio cha wasanii)Official Video)

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Huu ni Wimbo Unao kwenda kwa jina la Kilio cha wasanii ulio imbwa Na Annoint Amani Ambaye ni Mfalme Wawa Waimbaji Wa Nyimbo za Injili East afrika . Ukiwa ni Barua Speccial kwa Mh Rais wetu DOKT JOHN POMBE MAGUFULI Na Serikali kwa ujumla kwamba wasanii wanamchango mkubwa sana katika nchi yetu hivyo wakumbukwe japo kidogo Kwa Mchango waliotoa Nchini. Inasikitisha Pia inakatisha Tamaa Kuona wasanii wakubwa wanafariki Dunia bila kuacha kumbukumbu yoyote nchini wakati wamesaidia pia kwa kiasi nchi yetu kujulikana nchi za jilani Kisanaa. Naamini Ujumbe Huu Umekugusa Na kukuhuzunisha Pia Maombi Yangu Juu Ya serikari Itusaidie Wasanii katika hili swala. Mungu Ibariki Tanzania Mbariki Na Mh-Rais Wetu DOKT JOHN POMBE MAGUFULI

Mtunzi. Annoint Amani
Studio.A.E.A Tones
Mawasiliano +255755099942

Page: anoint myself, anointment, anoint my head with oil, anoint my head, anoint me lord youtube, anoint me love, anoint my eyes, anoint my feet, anoint me again, anoint meaning latin, anoint me prayer, anoint me youtube, anointment definition, anoint me lord lyrics, anoint me song lyrics, anoint myself fred hammond, anoint my feet o lord, anoint me o lord sermon, anoint me one more time, anoint musical woman of god, anoint me lord accompaniment track, anoint me now consecrate lyrics, anoint my head with oil jewish meaning,
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...