Kilichomtokea RAIS JPM MSIBANI KWA MZEE MAJUTO KINAHUZUNISHA,ASHINDWA KUJIZUIA NA KUMWAGA MACHOZI

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Rais Dokta John Pombe Magufuli,meshindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akimwaga machozi kutokanana huzuni aliyokuwa nayo, wakati akiaga mwili wa marehemu Amri Athuman 'King Majuto' katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
#RAIS_MSIBANI #MAGUFULI _MZEE_MAJUTO

Mwili wa msanii mkongwe wa filamu za Kibongo, Amri Athuman 'King Majuto', aliyefariki jana usiku, umetolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ulikokuwa umehifadhiwa, na kupelekwa kuswaliwa katika Msikiti wa maamur, Upanga kisha katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa.

Baada ya kuagwa katika Viwanja vya Karimjee, mwili wa marehemu utasafirishwa mpaka jijini Tanga kwa mazishi ambapo viongozi mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika msiba huo.

Page: kilichompata rose muhando, kilichomkuta rose muhando, kilichomuua mtoto wa muna, killicomaine, kilchoman, kilchoman scotch, killicomaine junior high school, kilchoman distillery, kilchoman reviews, kilchoman sanaig, kilchoman machir bay, kilchoman coull point, kilchoman sanaig review, kilchoman machir bay review, kilchoman distillery tour, kilchoman loch gorm, kilchoman single malt, kilchoman bramble liqueur, kilchoman single bourbon cask, kilchoman vs, kilchoman buy, kilchoman nfc, kilchoman scotland,
Loading...

Related videos

FULL VIDEO: MWILI WA MZEE MAJUTO ULIVYOPOKEWA TANGA34:21FULL VIDEO: MWILI WA MZEE MAJUTO ULIVYOPOKEWA TANGA#ZaimaMatukio: Sasa CUF wafikia maamuzi51:40#ZaimaMatukio: Sasa CUF wafikia maamuziPart 2: TUNDU LISSU afanya mahojiano Mengine huko ULAYA, amvaa MAGUFULI, credit: KILIMANJARO STUDIO1:14:32Part 2: TUNDU LISSU afanya mahojiano Mengine huko ULAYA, amvaa MAGUFULI, credit: KILIMANJARO STUDIOLugola atinga nyumbani kwa kijana aliyefia kituo cha Polisi, afanya maombi10:15Lugola atinga nyumbani kwa kijana aliyefia kituo cha Polisi, afanya maombiBella: Nilikuwa nalala kitanda kimoja na Godzilla / Nitautunza mswaki wake mpaka nakufa!11:57Bella: Nilikuwa nalala kitanda kimoja na Godzilla / Nitautunza mswaki wake mpaka nakufa!Kimenuka tena! NAPE na HALIMA Waibuka na Balaa Jingine kubwa, Shuhudia Mwenyewe Walichofanya8:41Kimenuka tena! NAPE na HALIMA Waibuka na Balaa Jingine kubwa, Shuhudia Mwenyewe WalichofanyaMAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAR 9,2,201910:43MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAR 9,2,2019HISTORIA: HUYU Ndiye Rais Bishoo Na Katili Duniani14:24HISTORIA: HUYU Ndiye Rais Bishoo Na Katili DunianiMASKINI Steve Nyerere Kauli yake Yamponza/Ommy Dimpoz Ameamua Mazito/Aamua Kumsamehe11:19MASKINI Steve Nyerere Kauli yake Yamponza/Ommy Dimpoz Ameamua Mazito/Aamua KumsameheMoto unawaka CHADEMA, Yatoa tamko la Karne kuhusu Tundu Lissu, Yamchambua Vibaya Waziri wa Magufuli11:29Moto unawaka CHADEMA, Yatoa tamko la Karne kuhusu Tundu Lissu, Yamchambua Vibaya Waziri wa MagufuliAMETOWEKA GHAFLA huko Arusha, Yadaiwa ametekwa na watu wasiojulikana mkewe Aanika ukweli wote3:59AMETOWEKA GHAFLA huko Arusha, Yadaiwa ametekwa na watu wasiojulikana mkewe Aanika ukweli woteTaarifa Kubwa Kutoka Marekani: Lissu AGOMA Kurudi TANZANIA12:21Taarifa Kubwa Kutoka Marekani: Lissu AGOMA Kurudi TANZANIAUtata KIFO CHA MZEE MAJUTO miujiza mikubwa yatawala HOFU YATANDA  kwa wasanii AZIKWA TANGA17:31Utata KIFO CHA MZEE MAJUTO miujiza mikubwa yatawala HOFU YATANDA kwa wasanii AZIKWA TANGABalaa jingine TUNDU LISSU kwenye mahojiano mengine huko ULAYA, credit to KILIMANJARO STUDIO47:17Balaa jingine TUNDU LISSU kwenye mahojiano mengine huko ULAYA, credit to KILIMANJARO STUDIOLive na TUNDU LISSU leo ,msikikize anavyo tema cheche kwa magufulu na serikali yake25:47Live na TUNDU LISSU leo ,msikikize anavyo tema cheche kwa magufulu na serikali yakeMKE WA MZEE MAJUTO AFUNGUKA: "NIMEFUKUZWA TANGA"10:01MKE WA MZEE MAJUTO AFUNGUKA: "NIMEFUKUZWA TANGA"Neno la Mwisho la King Majuto Kabla Hajafikwa na Mauti4:44Neno la Mwisho la King Majuto Kabla Hajafikwa na MautiLIVE: Viongozi wa Dini wanamfungukia JPM "Baba Demokrasia, waache 'wapinzani' waongee"3:55:34LIVE: Viongozi wa Dini wanamfungukia JPM "Baba Demokrasia, waache 'wapinzani' waongee"MAZISHI YA MZEE MAJUTO:  MAELLFU WAJITOKEZA KUAGA1:08:41MAZISHI YA MZEE MAJUTO: MAELLFU WAJITOKEZA KUAGALissu ALIVYOMKABA KOO Balozi wa TANZANIA12:47Lissu ALIVYOMKABA KOO Balozi wa TANZANIA
Loading...