Kitendawili cha mauaji ya Sharon: DPP asema hakuna kiongozi atakayesazwa iwapo atahusishwa na mauaji

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ametishia kumkamata gavana wa Migori Okoth Obado iwapo uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Rongo Sharon Otieno utamuweka hatiani.
Haya yanawadia huku msaidizi wa gavana Obado ambaye anazuiliwa na polisi, Michael Oyamo akiandikisha taarifa na kudai aliwakwepa watekaji nyara wa Sharon na kuelekea hospitalini kisii kwa matibabu kabla ya kuelekea katika kituo cha polisi kupiga ripoti.

Page: kitendawili tega, kitendawili mpoto lyrics, kitendawili simba wa kali,
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...