Mkurugenzi wa shule Kitengela akamatwa kwa kumshambulia mzazi

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
Naibu mkurugenzi wa shule ya upili ya Kitengela John Kahora anazuiliwa katika kituo cha polisi cha Kitengela kaunti ya Kajiado, baada ya kudaiwa kumpiga na kumjeruhi vibaya mama mzazi Jumamosi iliyopita.
Mzazi huyo alikuwa amepokea simu kutoka kwa usimamizi wa shule hiyo waliomtaka ajiwasilishe shuleni upesi kwani mwanawe wa kike alidaiwa kukusudia kujitoa uhai.

Mkurugenzi huyo amekanusha kumpiga mzazi huyo na kudai kuwa mwanamke huyo aliumizwa na lango kuu la shule hiyo.

Page: mkurugenzi wilaya mafia, mkurugenzi tcra, mkurugenzi kongwa, mkurugenzi mkuu wa rea, mkurugenzi mkuu nhif, mkurugenzi mkuu nssf, mkurugenzi wa nssf, mkurugenzi wa kongwa, mkurugenzi wa takukuru, mkurugenzi makosa jinai, mkurugenzi manispaa ilala, mkurugenzi halmashauri kongwa, mkurugenzi in english, mkurugenzi mkuu wa nssf, mkurugenzi manispaa ya dodoma, mkurugenzi wa elimu dodoma, mkurugenzi wa elimu kibaha, mkurugenzi wa mashtaka dpp, mkurugenzi manispaa ya kinondoni, mkurugenzi wizara ya elimu, mkurugenzi mkuu pride tanzania, mkurugenzi mtendaji in english, mkurugenzi nhc asimamishwa kazi, mkurugenzi wa makosa ya jinai,
Loading...

Related videos

Loading...