Nyashinski - Free (Official Music Video) [SMS ‘Skiza 7500487’ or 'Skiza 7500508' to 811]

SERVER VIPDOWNLOAD VIDEO
#Free
FREE -

[Intro]

Yea, sawa sawa
Hii side yetu tuko works kama kawa
Shinchilla
KDaGReat

[Chorus]

Can I be free?
Relax and take it easy,
we only get one life
So live yo life
oh oh fire you know I'm right (yah)
welcome to paradise (yah)
girl don't just fantasize (yah)
light up and free your mind

[Verse 1:]

Ata kaa hunipendi unajua ni nani beast hapa
na level za udeadly hukuwa unajua zinaexist ata
nakuombea daily ufike mahali unaaim
before nidedi nijenge na v8 baba
before they play me nionyeshe mahali snakes (mahali snakes wako)
surgery hautaona mamistakes (inaitwa surgery)
unaeza acha kucomplain (acha kucomplain)
usiwai danganya side ye ni main

[Chorus]

[Bridge:]

Yah
So dry your tears
Daddy donti worry Bubu have no fear
Mom said piga kazi while I'm young and strong I said,
"For you I'll be strong for a thousand years!"

[Verse2:]

Style zangu ni medley
Nyash huwanga mdeadly
marapper wanaona movie
Nyash we hukuwanga Jet Li
singer ama ni mc?
zangu zina message zao hazina ziko empty
Nyash huwaga mzii
here I go
geuza flow
mwisho wa mwezi kuna njeve but at least kuna doe
ngoma zote wataandika kunidiss zitaboo
niambie nani amewai kupea this many hits in a row row row
so dance for me babe oh yeah
just dance for me babe, oh yeah (yahye)
dance for me babe
commercial break
just dance for me babe

[Verse3:]


Mi ni jina kubwa labda tuzungumze na babako
gari kubwa humaanishanga utaitishwa za macho
buy mtumba ukihope haijabeba kikulacho
vybez tu nakupa kaa unapenda jenga hustle
lines tu zinakuja utasurrender *****ako
nilike tu ata kaa nimeweka word moja mbaya hapo
hii night ikuwe true hadi kesho ujione kwa mpasho
hii life huwezi jua so tonight please

{Chorusx2}


Written and Performed by: Nyashinski (@RealShinski)
Music Produced by: K Da Great.
Mixed and Mastered By Ogopa DJs.
Video Produced By: Absolute Media Pictures.
Video Directed By YNOT vs SIR-NARE.
Choreography By: Oscar Mwalo.
Styling By: Brian Babu.
Copyright: Geta International Ltd. LEVEL UP with Vusi Nova http://keclips.com/ke-play/Keclips-KePH0wg...

#Africori #TheBestInAfricanMusic #BestOfAfrica

Page: nyashinski, nyashinski free, nyashinski tribe, nyashinski malaika, nyashinski marathon runner, nyashinski lyrics, nyashinski ft jux, nyashinski mungu pekee, nyashinski latest songs, nyashinsky, nyashinski-hayawani, nyashinski songs watch, nyashinski all songs, nyashinski new song, nyashinski real name, nyashinski marathon runner lyrics, nyashinski latest, nyashinski news, nyashinski mp3, nyashinski tour, nyashinski music, nyashinski car,
Tags:
Loading...

Related videos

Loading...